Pages

Tuesday, March 15, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMPA POLE PROFESA TIBAIJUKA-AWASILI NGARA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa kahawa iliyoyokaangwa maarufukwa jina la akamwani ikiwa ni mapokezi ya kimila ya Wahaya wakati alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Zamani wa Ardhi, Profesa Tibaijuka mjini Muleba kutoa pole kufuatia msiba wa mama yake mzazi, Aulelia Kajumulo Machi 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kiwasalimia wnanchi wa eneo la Benaco wilayani Ngara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kagera Machi, 2016.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates