Pages

Wednesday, April 24, 2024

TOGABE MILLS, KISHINDO CHA MAMA WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI

Wanachama wa Kishindo cha Mama kwa kushirikiana na TOGABE Mills watoa Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.

Msaada huo ni Unga, Mchele, Mafuta ya Kupikia pamoja na Mavazi pamoja na vitu mbalimbali ambavyo ni msaada wa kibinadamu.
Wanachama wa Kishindo cha Mama na TOGABE Mills wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kutoa Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.

Msaada huo ni Unga, Mchele, Mafuta ya Kupikia pamoja na Mavazi pamoja na vitu mbalimbali ambavyo ni msaada wa kibinadamu.

MKuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele (Watano kutoka kushoto) Wanachama wa Kishindo cha Mama na TOGABE Mills wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa na vyakula vilivyotolewa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.

Baadhi ya wanakibiti wakisaidia kushusha baadhi ya misaada iliyotolewa na Wanachama wa Kishindo cha Mama na TOGABE Mills mara baada ya kutolewa walipotembelewa na wanachama hao.
MKuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele na Wanachama wa Kishindo cha Mama na TOGABE Mills wakiondoka na vyakula vilivyotolewa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.



MKuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele (Wapili kutoka kushoto) akizungumza na Wanachama wa Kishindo cha Mama na TOGABE Mills mara baada ya kukabidhi msaada kwa waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani.

MKuu wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele akiwa na Tisheti aliyopewa na wanachama wa Kishindo Cha Mama.
Picha ya pamoja.





 
 
Blogger Templates