Pages

Tuesday, March 15, 2016

MAKAMU WA RAIS, SULUHU AZUNGUMZA NA WAKUUWA MIKOA JIIJINI DAR LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kula kiapo cha Utii mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu Dar es salaam leo March 15, 2016. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Josef Magufuli na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa Mikoa leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

 
 
Blogger Templates